Ufafanuzi wa mdidimio katika Kiswahili

mdidimio

nominoPlural mididimio

  • 1

    uzamaji wa kitu k.v. ardhi, nyumba au mtu katika maji au tope.

    mtitio

Matamshi

mdidimio

/mdidimijɔ/