Ufafanuzi wa mdoezi katika Kiswahili

mdoezi

nomino

  • 1

    mtu anayefanya hila au ujanja ili apewe chakula au kitu kingine.

Matamshi

mdoezi

/mdɔwɛzi/