Ufafanuzi wa mdoriani katika Kiswahili

mdoriani, mduriani

nominoPlural midoriani

  • 1

    mti unaozaa matunda yenye harufu kali sana na maganda yenye miba migumu.

Asili

Khi

Matamshi

mdoriani

/mdɔrijani/