Ufafanuzi wa mdundiko katika Kiswahili

mdundiko

nomino

  • 1

    ngoma ya Wazaramo ichezwayo kwa kurukaruka mahali pamoja au kukimbia polepole barabarani.

Matamshi

mdundiko

/mdundikÉ”/