Ufafanuzi wa mede katika Kiswahili

mede

nominoPlural mede

  • 1

    kitanda chenye chago upande mmoja ambacho hutumika pia kwa kukalia.

  • 2

    mahali pa salama pa kukimbilia wakati wa kufukuzwa kwenye mchezo wa kibe na foliti.

Asili

Kar

Matamshi

mede

/mɛdɛ/