Ufafanuzi wa meli katika Kiswahili

meli

nominoPlural meli

  • 1

    chombo kikubwa cha baharini kilichoundwa kwa chuma cha pua na kinachokwenda kwa injini.

    ‘Meli ya abiria’

Matamshi

meli

/mɛli/