Ufafanuzi wa memsahib katika Kiswahili

memsahib, memsabu

nomino

  • 1

    jina la heshima analoitwa mke wa mwajiri.

Asili

Khi

Matamshi

memsahib

/mɛmsahib/