Ufafanuzi wa mendea katika Kiswahili

mendea

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~sha, ~wa

  • 1

    nyemelea ili kulawiti.

Matamshi

mendea

/mɛndɛa/