Ufafanuzi wa menyana katika Kiswahili

menyana

kitenzi sielekezi~ia, ~isha

  • 1

    shindana katika mchezo baina ya wachezaji au timu.

    hoka

Matamshi

menyana

/mɛɲana/