Ufafanuzi wa mfalme katika Kiswahili

mfalme

nomino

  • 1

    mtawala mwanamume aliyepata nguvu za utawala kwa njia ya urithi au uwezo fulani k.v. ushujaa.

    maliki

Matamshi

mfalme

/mfalmÉ›/