Ufafanuzi wa mfarakano katika Kiswahili

mfarakano

nominoPlural mifarakano

  • 1

    hali ya watu kutoelewana na kutengana.

Asili

Kar

Matamshi

mfarakano

/mfarakanɔ/