Ufafanuzi wa mfariji katika Kiswahili

mfariji

nominoPlural wafariji

  • 1

    mtu anayemwondolea mtu mwingine huzuni na kumletea faraja.

Asili

Kar

Matamshi

mfariji

/mfariʄi/