Ufafanuzi wa mfarika katika Kiswahili

mfarika

nominoPlural mifarika

  • 1

    mnyama ambaye ameshakua lakini bado hajazaa.

    mtamba, dachia

Asili

Kar

Matamshi

mfarika

/mfarika/