Ufafanuzi wa mfuatano katika Kiswahili

mfuatano

nominoPlural mifuatano

  • 1

    tendo au hali ya kwenda moja baada ya nyingine.

    mwandamano

Matamshi

mfuatano

/mfuwatanɔ/