Ufafanuzi msingi wa mfululizo katika Kiswahili

: mfululizo1mfululizo2

mfululizo1

nominoPlural mifululizo

 • 1

  hali ya kufuatana kwa mambo au vitu, kimoja baada ya kingine.

  ‘Mfululizo wa vitabu vya walimu’

Matamshi

mfululizo

/mfululizɔ/

Ufafanuzi msingi wa mfululizo katika Kiswahili

: mfululizo1mfululizo2

mfululizo2

kielezi

 • 1

  bila kusimama.

  ‘Enda mfululizo’
  chururu

Matamshi

mfululizo

/mfululizɔ/