Ufafanuzi wa mfumodume katika Kiswahili

mfumodume

nominoPlural mifumodume

  • 1

    mfumo unaowapa fursa wanaume na kuwafanya kuwa juu ya wanawake kimamlaka.

  • 2

    utaratibu wa kumkweza mwanamume katika jamii na kumfanya atawalie kila jambo ndani ya familia.

Matamshi

mfumodume

/mfumɔdumɛ/