Ufafanuzi wa mfumofunge katika Kiswahili

mfumofunge

nominoPlural mifumofunge

  • 1

    hali ya kudhibitiwa au kuwekewa mipaka inayosababisha mkwamo au ukosefu wa uhuru.

Matamshi

mfumofunge

/mfumɔfungɛ/