Ufafanuzi wa mfyonyo katika Kiswahili

mfyonyo

nominoPlural mifyonyo

  • 1

    sauti kama mlio wa filimbi inayotoka mdomoni kuonyesha dharau.

    msonyo, mnyuso

Matamshi

mfyonyo

/mfjɔ3ɔ/