Ufafanuzi wa mgambakangu katika Kiswahili

mgambakangu

nominoPlural migambakangu

  • 1

    mmea unaoota majini ambao mizizi yake huhifadhi chakula.

Matamshi

mgambakangu

/mgambakangu/