Ufafanuzi wa mgandamizaji katika Kiswahili

mgandamizaji

nominoPlural wagandamizaji

  • 1

    mtu anayewanyanyasa watu wengine kwa kuwadhulumu haki zao.

Matamshi

mgandamizaji

/mgandamizaʄi/