Ufafanuzi wa mgiligilani katika Kiswahili

mgiligilani

nominoPlural migiligilani

  • 1

    mmea wenye majani madogo unaotoa mbegu zinazotumiwa kuungia chakula ili kupata harufu nzuri.

Asili

Kar

Matamshi

mgiligilani

/mgiligilani/