Ufafanuzi wa mgololi katika Kiswahili

mgololi

nomino

  • 1

    shuka ndefu inayovaliwa kwa kupitishwa begani.

    shiti, shuka, gandi

Matamshi

mgololi

/mgɔgɔli/