Ufafanuzi wa mgomba katika Kiswahili

mgomba

nominoPlural migomba

  • 1

    mmea unaozaa ndizi wenye shina nene la magome ya majimaji ambayo yakinyauka hutumiwa kama kamba na majani yake ni makubwa na mapana.

    ‘Kua kama mgomba, mnazi unakawia’
    methali ‘Mgomba haushindwi na mkunguwe’

Matamshi

mgomba

/mgɔmba/