Ufafanuzi wa mgombozi katika Kiswahili

mgombozi

nomino

  • 1

    mtu anayetetea mwingine ili apate haki yake na asionewe.

    mtetezi

Matamshi

mgombozi

/mgɔmbɔzi/