Ufafanuzi wa mgomo baridi katika Kiswahili

mgomo baridi

msemo

  • 1

    mgomo wa kufanya kazi taratibu au polepole kama ishara ya kugoma ili kushinikiza madai fulani.