Ufafanuzi wa mgomvi katika Kiswahili

mgomvi

nominoPlural wagomvi

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kugombana na watu.

    mshari, mtesi, hasimu

Matamshi

mgomvi

/mgɔmvi/