Ufafanuzi wa mgumba katika Kiswahili

mgumba

nominoPlural wagumba

  • 1

    mtu aliyefikia umri wa kuzaa lakini akawa hajazaa wala kupata au kutia mimba.

Matamshi

mgumba

/mgumba/