Ufafanuzi wa mhakiki katika Kiswahili

mhakiki

nominoPlural wahakiki

  • 1

    mtu anayetoa tathmini ya kilichosemwa au kuandikwa pamoja na kutoa fikira zake.

    ‘Mhakiki maandishi’
    karii

Asili

Kar

Matamshi

mhakiki

/mhakiki/