Ufafanuzi wa mimba katika Kiswahili

mimba

nominoPlural mimba

 • 1

  utungo wa mwanzo wa binadamu au mnyama katika tumbo la mama.

  ‘Shika mimba’
  ‘Tunga mimba’
  ‘Tia mimba’
  ‘Zuia mimba’
  himila

 • 2

  tumbo la mwanamke lenye mtoto ndani.

Matamshi

mimba

/mimba/