Ufafanuzi wa mimina katika Kiswahili

mimina

kitenzi elekezi

  • 1

    tia kitu kiowevu, cha punje au cha unga kwa mfululizo kutoka kwenye kitu kimoja hadi kingine.

    ‘Mimina maji mtungini’

Matamshi

mimina

/mimina/