Ufafanuzi wa mintarafu katika Kiswahili

mintarafu

kiunganishi

  • 1

    kutokana na; kuhusiana na.

    ‘Mintarafu ya barua yako uliyoniletea, nimekubali mwaliko wako’

Asili

Kar

Matamshi

mintarafu

/mintarafu/