Ufafanuzi wa mipasho katika Kiswahili

mipasho

nominoPlural mipasho

  • 1

    nyimbo za mafumbo zinazofanana na taarabu ambazo huimbwa, agh. kusuta.

Matamshi

mipasho

/mipa∫ɔ/