Ufafanuzi wa miraba minne katika Kiswahili

miraba minne

kivumishi

  • 1

    pande la mtu; mtu aliyejengeka na mwenye nguvu.

Matamshi

miraba minne

/miraba minnɛ/