Ufafanuzi wa mjao katika Kiswahili

mjao

nomino

  • 1

    hali ya kujaa kwa kitu.

    ujazo

Matamshi

mjao

/mʄawɔ/