Ufafanuzi wa mjarari katika Kiswahili

mjarari

nominoPlural mijarari

  • 1

    kamba inayotumiwa kuendesha usukani wa chombo au kuzungushia gurudumu la cherehani au cherehe.

    ujari

Asili

Kar

Matamshi

mjarari

/mʄarari/