Ufafanuzi wa mjima katika Kiswahili

mjima

nomino

  • 1

    mmoja wa wafanyao kazi, hasa ya ukulima, kwa ushirika.

Matamshi

mjima

/mʄima/