Ufafanuzi wa mjuba katika Kiswahili

mjuba

nominoPlural wajuba

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kujifanya kujua.

    mjeuri, fidhuli, safihi, mjuvi

Matamshi

mjuba

/mʄuba/