Ufafanuzi msingi wa mjusi katika Kiswahili

: mjusi1mjusi2

mjusi1

nominoPlural mijusi, Plural mjusi

  • 1

    mnyama wa jamii yenye damu baridi, mdogo kuliko kenge, agh. huishi mashimoni au miambani.

    naningwanzula

Matamshi

mjusi

/mʄusi/

Ufafanuzi msingi wa mjusi katika Kiswahili

: mjusi1mjusi2

mjusi2

nominoPlural mijusi, Plural mjusi

  • 1

    ugonjwa wa kutoka damu puani.

    mnoga, muhina

Matamshi

mjusi

/mʄusi/