Ufafanuzi wa mkaajikoni katika Kiswahili

mkaajikoni

nominoPlural wakaajikoni

  • 1

    mtu asiyetokatoka nje; mbumbumbu wa mambo.

Matamshi

mkaajikoni

/mka:ʄikɔni/