Definition of mkalatusi in Swahili

mkalatusi, mkalitusi

noun

  • 1

    mti mrefu wenye mbao ngumu na magamba yake hutumiwa kuwa dawa k.v. ya mafua, n.k..

Pronunciation

mkalatusi

/mkalatusi/