Ufafanuzi wa mkale katika Kiswahili

mkale

nominoPlural wakale

  • 1

    mzee mwenye ujuzi wa mambo yaliyotukia zamani.

  • 2

    mtu aliyeishi miaka mingi.

  • 3

    mtu ashikiliaye mambo ya kale.

Matamshi

mkale

/mkalɛ/