Ufafanuzi wa mkangazi katika Kiswahili

mkangazi

nomino

  • 1

    mti mgumu wa jamii ya mvule ambao mbao zake ni nyekundu.

Matamshi

mkangazi

/mkangazi/