Ufafanuzi wa mkata katika Kiswahili

mkata

nominoPlural wakata

  • 1

    mtu asiyekuwa na hali nzuri ya maisha.

    methali ‘Mkata hana kinyongo’
    methali ‘Mkata hapendi mwana’
    fakiri, hawinde, maskini, mtule

Matamshi

mkata

/mkata/