Ufafanuzi msingi wa mkeketo katika Kiswahili

: mkeketo1mkeketo2

mkeketo1

nominoPlural mikeketo

 • 1

  hali ya watu, wanyama au vitu kuwa na kimo au umri mmoja.

  ‘Watoto wanaotakiwa kwenye michezo ya halaiki sharti wawe ni mkeketo mmoja’

Matamshi

mkeketo

/mkɛkɛtɔ/

Ufafanuzi msingi wa mkeketo katika Kiswahili

: mkeketo1mkeketo2

mkeketo2

nominoPlural mikeketo

 • 1

  uumwaji wa tumbo.

 • 2

  ukataji wa kitu kigumu kwa kutumia kitu k.v. kisu butu.

 • 3

  namna ya kutahiri wanawake.

Matamshi

mkeketo

/mkɛkɛtɔ/