Ufafanuzi wa mkembe katika Kiswahili

mkembe

nominoPlural wakembe

  • 1

    mtoto mdogo mwenye umri baina ya mwaka mmoja na miaka sita.

  • 2

    kijana balehe ambaye hajaoa au kuolewa.

Matamshi

mkembe

/mkɛmbɛ/