Ufafanuzi wa mkia katika Kiswahili

mkia

nominoPlural mikia

  • 1

    sehemu inayotokeza baada ya kifupa cha mwisho cha uti wa mgongo wa mnyama au samaki na ndege.

Matamshi

mkia

/mkia/