Ufafanuzi wa mkinda katika Kiswahili

mkinda

nominoPlural mikinda

  • 1

    ngoma ya kumweka mwari ndani.

  • 2

    ngoma ya sherehe katika harusi na hata katika kuondoa msiba.

Matamshi

mkinda

/mkinda/