Definition of mkoni in Swahili

mkoni

noun

  • 1

    mti mmojawapo katika miti laini wenye umbo kama mkuki unaomea katika nchi za baridi na ambao majani yake yana umbo la sindano, mbao zake hutumika kutengenezea karatasi.

Pronunciation

mkoni

/mkɔni/