Ufafanuzi wa mkosefu katika Kiswahili

mkosefu

nominoPlural wakosefu

  • 1

    mtu aliyetenda makosa.

  • 2

    mtu ambaye mara nyingi huwa hana kitu k.v. fedha, chakula, adabu.

    ‘Mkosefu wa heshima’
    mkosaji, mtovu

Matamshi

mkosefu

/mkɔsɛfu/