Ufafanuzi wa mkurufunzi katika Kiswahili

mkurufunzi

nominoPlural wakurufunzi

 • 1

  mwalimu anayewasomesha wanachuo au walimu chuoni.

 • 2

  mwalimu katika vyuo k.v. vya ualimu au ufundi.

  mdarisi

 • 3

  kocha

Matamshi

mkurufunzi

/mkurufunzi/